Wednesday, July 25, 2007

MAPENZI KIZUNGUZUNGU

Mapenzi ni kizunguzungu. Waweza mpenda mtu hadi ukamkabidhi kila kitu, naongelea jinsia tofauti na wenye mapenzi ya dhati.
Au wewe una semaje?